Dereva Wa Mbio Za Magari Nchini Maxine Wahome Sasa Atahitaji Kujibu Mashtaka Ya Mauaji Ya Aliyekuwa Dereva Wa Mbio Za Magari Asad Khan.Aidha Mkuu Wa Mashtaka Dpp Aliiomba Mahakama Inayomshikilia Mtuhumiwa Katika Kituo Cha Polisi Kilimani Ili Afanye Tathmini Ya Akili Kabla Ya Kumfikisha Mahakamani Kujibu Mashtaka.
Category
🗞
News