• 4 years ago
Kamati Ya Uandalizi Ya Sherehe Za Jamhuri Inasema Kuwa Ni Watu 10,000 Pekee Watakaoruhusiwa Kuingia Katika Bustani Ya Uhuru Gardens Jumapili Hii.
Katibu Katika Wizara Ya Usalama Karanja Kibicho Anasema Kuwa Hafla Hiyo Itakuja Na Misukosuko Katika Usafiri Wa Angani Katika Eneo Hilo Ambalo Ni Njia Ya Ndege. Uwanja Huo Utafunguliwa Saa Kumi Alfajiri Ili Wageni Waweze Kuwa Tayari Wakati Rais Atakapowasili Mwendo Wa Saa Tano.

Recommended