• 3 years ago
Wakenya Wanaoishi Kati Mwa Kenya, Mashariki, Na Kaskazini Mashariki Mwa Kenya Wamepewa Tahadhari Kufuatia Mvua Kubwa Inayotarajiwa Kunyesha Sehemu Hizo. Kulingana Na Idara Ya Hali Ya Anga Sehemu Kadhaa Zitashuhudia Mafuriko, Mmonyoko Wa Ardhi Na Ngurumo Za Radi.

Recommended