• 4 years ago
Kwa Mara Nyingi Mbwa Ni Mnyama Ambaye Hajatiliwa Maanani Huku Watu Wengi Wakimtelekeza Haswa Kulingana Na Mtazamo Wa Jamii Ya Kiafrika.Kinyume Na Ilivyo Katika Tamaduni Za Mataifa Ya Bara Ulaya. Lakini Je Wajua Kwamba Mbwa Ni Mnyama Aliye Na Umuhimu Na Hivyo Anastahili Kupewa Malezi Bora Kama Wanyama Wengine.Tazama?

Recommended