Msongamano Washuhudiwa Katika Stendi Mpya Ya Green Park

  • 3 years ago
Kumeshuhudiwa Msongamano Wa Watu Na Magari Wakati Majaribio Ya Utumizi Wa Stendi Mpya Ya Green Park Jijini Nairobi. Majaribio Hayo Yaliofanyika Mapema Leo Yakilenga Kuangazia Utumizi Wa Stendi Hiyo Ambayo Inakusudiwa Kukamilika Wakati Wowote Kutoka Sasa.