Sekta Ya Usafiri Hasa Ya Umma Ina Kila Tumaini La Kukwamua Uchumi Uliozorota Katika Sekta Ya Usafiri Mwaka Jana Kufuata Kulegezwa Kwa Vikwazo Vya Kudhibiti Kuenea Kwa Maambukizi Ya Corona.Hata Hivyo Japo Kwa Hatua Hiyo Wanaoendesha Magari Ya Masafa Marefu Sasa Wameiomba Serikali Kuwaangazia Zaidi Na Kulegeza Masharti Ya Kikwazo Cha Kafyu Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya……..
Category
🗞
News