Baraza La Maaskofu Katoliki Ladai Utovu Wa Nidhamu Ni Kiini Cha Mioto Shuleni

  • 3 years ago
Baadhi Ya Viongozi Wa Kidini Wametoa Hangaiko Lao Kuhusu Ongezeko La Mikasa Ya Moto Katika Shule Za Upili. Mwenyekiti Wa Baraza La Maaskofu Wa Kanisa Katoliki Nchini Likongozwa Na Askofu Martin Kivuvu Limedai Kuwa Utovu Wa Nidhamu, Dawa Za Kulevya Na Ushawishi Wa Marafiki Ni Miongoni Mwa Changamoto Zinazowakumba Wanafunzi Na Kusababisha Uhalifu Huo. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Kamishna Mkuu Wa Mkoa Wa Bonde La Ufa George Natembeya Amesema Kuwa, Mwanafunzi Yeyote Atakaye Patikana Na Hatia Atachukuliwa Hatua Kali Kisheria.

Recommended