Wanawake Wengi Wamepata Nyadhfa Kuu Uongozini

  • 3 years ago
Huku Taifa Likiadhimisha Miaka 11 Baada Ya Kuidhinishwa Kwa Katiba Mpya, Hatua Chache Zimechukuliwa Kutekeleza Sheria Ya Usawa Wa Kijinsia Hususan Sheria Ya Thuluthi Mbili Bungeni. Anavyoelezea Busara Naaman, Licha Ya Kuwa Kuna Baadhi Ya Wanawake Katika Nyadhfa Kuu Za Uongozi, Miaka 11 Baadaye Bado Wanawake Nchini Wanakosa Haki Muhimu, Kama Vile Elimu Bora Na Afya Bora Huku Wengine Wakipitia Unyanyasaji Wa Kijinsia.

Recommended