Mashindano Ya Kitaifa Ya Karate

  • 2 years ago
Mashindano Ya Kitaifa Ya Mwaka Huu Wa Mashindano Ya Karete Ambayo Yaliandaliwa Kaunti Ya Kilifi.
Mbukisho Walipata Ushindani Mkali Kutoka Kwa Kilabu Cha World Authority Kutoka Kaunti Ya Nairobi Kwa Kutoshana Kwa Alama 23.82,Hii Ikiwalazimu Majaji Kufanya Uamuzi.Mashindano Haya Yalivutia Jumla Ya Vilabu 20 Vya Karate Kutoka Kote Nchini Vikiwemo Chipukizi Na Wazoezi .

Recommended