• last year
Mito Inayomimina Maji Katika Ziwa Naivasha Imekauka Hii Ikiwa Mara Ya Kwanza Kwa Miaka Sabini Mito Hii Kukauka. Sababu Kuu Ya Kukauka Kwa Mito Hii Ikiwa Ukosefu Wa Mvua Nchini Ambayo Imesababisha Ukame.

Recommended