• 4 years ago
Chuo Kikuu Cha Mafunzo Anuai Cha Mombasa Kimeanza Kuandaa Mikakati Ya Kufunguliwa Ifikiapo Mwezi Septemba Mwaka Huu. Akizungumza Wakati Wa Kugawa Chakula Kwa Familia Zenye Uhitaji Katika Mtaa Wa Mabanda Wa Muoroto, Kaimu Mkuu Wa Chuo Professor Leila Abubakar Amesema Chuo Kinajadili Na Wakuu Wa Kaunit Ya Mombasa Kuona Ni Vipi Kituo Cha Kuhifadhi Wanaoonyesha Dalili Za Viruisi Korona Kinaweza Kufungwa Kabla Ya Chuo Kufunguliwa .

Recommended