Kufanya Mazoezi Kunapunguza Msongo Wa Mawazo

  • 3 years ago
Kufanya Mazoezi Kumetajwa Kama Njia Mojawepo Ya Kupunguza Msongo Wa Mawazo Na Sonona Hasa Wakati Huu Wa Janga La Virusi Vya Corona. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Mwelekezi Wa Mazoezi Adolph Shihemi Anayetoa Wito Kwa Wakenya Kula Chakula Chenye Afya Na Kufanya Mazoezi Kila Wakati Ili Kuiimarisha Afya Yao Wakati Huu Wa Janga La Corona.

Recommended