Muungano Wa Matatu Umetishia Kuongeza Nauli Ya Usafiri

  • 3 years ago
Muungano Wa Wamiliki Wa Matatu Umetishia Kuongeza Nauli Ya Usafiri Kufuatia Kuongezeka Kwa Bei Ya Mafuta. Mwenyekiti Wa Muungano Huo Simon Kimutai Analalama Kuwa Wanaendelea Kukadiria Hasara Kubwa Tayari Kutokana Na Sheria Ya Kukaa Umbali Wa Mita Moja Huku Nyongeza Ya Bei Ya Mafuta Ikiongeza Chumvi Kwenye Kidonda. Kama Anavyoeleza Mwanahabari Busara Naaman

Recommended