• 2 years ago
Walinda Usalama Wameshirikiana Na Waendeshaji Bodaboda Eneo La Kapsoya Kaunti Ya Uasingishu Ili Kuondoa Dosari Ya Wanabodaboda Kuhusika Kwenye Uhalifu. Walinda Uslama Wamegundua Jinsi Ya Kuwasajili Wanabodaboda Eneo La Kapsowa Kuptia Teknolojia Ya Simu Ili Kuwatambua Kwa Majina Na Nakii Zao Vitambulisho Kwa Urahisi.

Recommended