• 4 years ago
Huku Ulimwengu Ukijiandaa Kusherekea Siku Ya Wanaoishi Na Ukimwi Nchini Inayoadimishwa Tarehe 1 Disemba Kila Mwaka. Wananchi Wanaendelea Kuhimizwa Watupilie Mbali Unyanyapaa Dhidi Ya Wanaoishi Na Virusi Vya Hiv... Tulizungumza Na Mmoja Wa Wanaoishi Na Virusi Hivi Na Anatueleza Jinsi Maisha Yake Yamekuwa Tangu Ajue Ana Virusi Hivyo..

Recommended