• 4 years ago
Wakaazi Wa Kerio Valley Walikongamana Kuombea Familia Za Wale Ambao Wamepoteza Wapendwa Wao Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Utovu Wa Usalama
Wakaazi Hao Wamesema Kuwa Maombi Ndio Suluhu Mwafaka. Vile Vile Wamevitaka Vitengo Vya Usalama Kukita Kambi Eneo Hilo Na Kuwakamata Wale Ambao Wanahusika Na Mashambulizi.

Category

🗞
News

Recommended