Njoroge:Nilipigania Uhuru Wa Taifa Lakini Serikali Imenifeli

  • 3 years ago
Baadhi Ya Mashujaa Waliopigania Uhuru Nchini Wameipa Changamoto Serikali Kuu Kuwakumbuka Na Kuseti Programu Zitakazowafaa Mashujaa Wanapoingia Uzeeni.Shujaa Mmoja Anayefahamika Kama Njoroge Aliyepigania Uhuru Miaka Ya 60 Sasa Ametaja Kuwa Wengi Wao Wametelekezwa Na Jitihada Zao Kw Ataifa Zikifeli Kuangaziwa

Recommended