• 7 years ago
Siku kadhaa baada ya Mfanyabiashara maarufu Tanzania Mo Dewji kupatikana, Jana October 23 gazeti la Jamhuri liliripoti kuwa Mfanyabiashara huyo alikuwa na kifaa mwilini mwake kilichokuwa kinarekodi matukio yote aliyofanyiwa alipotekwa. Ayo TV imempata mtaalamu wa mambo ya Digitali ambaye amefafanua kuhusu kifaa hicho.

Category

🗞
News

Recommended