Mwalimu mwenye umri mdogo ana PhD, ndoto yake kukutana na Mawaziri wawili
Kileo Crezent ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Ngaza Mwanza yeye ameanza kazi ya Ualimu akiwa na umri mdogo na kwa sasa anasomea PhD, na ndoto yake siku moja ni kukutana na Mawaziri wawili wa Tanzania.
Category
🗞
News