• 7 years ago
Askofu Gwajima Ameongoza Maombi maalumu ya kumuombea Mohammed Dewji “MO” aliyetekwa siku chache zilizopita, Katika Ibada yake Leo Askofu Gwajima amewakumbusha waumini wake na watanzania wote kuzidi kuiombea nchi yetu kila wakati ili Mungu asimame na atusaidie kutokomeza matukio haya ya ajabu yanayoiharibia sifa nchi yetu. Ikiwa umeguswa na Video basi isambaze ili iweze kuwabariki na watu wengine.

Recommended