• 6 years ago
Aliyewahi kuwa M/Kiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Taifa, baadaye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar, John Guninita amefariki leo alfajiri ktk Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa. Mdogo wake Gerald Guninita aliyewahi kuwa DC amethibitisha.

Category

People

Recommended