Hatma Ya Makamishna 4 Wa IEBC

  • 2 years ago
Kinara Wa Azimio Raila Odinga Ameendelea Kuwatetea Makamishna Wanne Wa Iebc Kutobanduliwa Afisini.Odinga Ambaye Hii Leo Alizuru Kaunti Ya Nyanza Amedai Kuwa Atawahusisha Wakenya Katika Jitihada Za Kuwatetea Makamishna Hao.Hii Inajiri Baada Ya Baadhi Ya Wabunge Kutoka Muungano W Kenya Kwanza Kudai Kuwa Wanamuunga Mkono Kubanduliwa Kwa Makamishna Hao,Kjwa Kile Wanachokitaja Kuwa Walitaka Kuhujumu Haki Ya Wapiga Kura.

Recommended