Zoezi La Usaili Wa Makamishna Wa IEBC Waingia Siku Ya 5

  • 3 years ago
Usaili Wa Wanaonuia Kujaza Nafasi Za Makamishna Katika Tume Ya Iebc Umeingia Siku Yake Ya Tano Huku Wagombea Watatu Wakifika Mbele Ya Jopo La Kuchagua Makamishna Wa Iebc. Wa Kwanza Alikua Ni Irene Cherop Aliyepata Wakati Mgumu Kueleza Ni Kwa Njia Ipi Tume Hiyo Itatekeleza Majukumu Yake. Wa Pili Alikua Ni Irene Keino Aliyewahi Kuhudumu Kama Naibu Mwenyekiti Katika Tume Ya Maadili Na Kupambana Na Maadili. Kwa Upande Wake, Keino Alipewa Jukumu La Kueleza Ni Kwa Njia Ipi Atakayotumia Tajriba Yake Katika Tume Ya Eacc Ili Kufanikisha Zoezi La Uchaguzi. Na Mtazamaji Wa Mwisho Kufika Mbele Ya Jopo Hilo Hii Leo Alikua Ni Professa Gitile Naituli Aliyewahi Kuhudumu Kama Kamishna.

Recommended