Zoezi La Kuwatafuta Makamishna Wanne Wa IEBC Laingia Siku Ya Nne

  • 3 years ago
Usaili Wa Wanaonuia Kujaza Nafasi Za Makamishna Katika Tume Ya Iebc Umeingia Siku Yake Ya Saba Huku Wagombea Watatu Wakifika Mbele Ya Jopo La Kuchagua Makamishna Wa Iebc. Wa Kwanza Alikua Ni Justus Nyang'aya Aliyetakiwa Kutoa Mbinu Za Kuwapa Wakimbizi Wa Ndani Fursa Ya Kupiga Kura.Tazama

Recommended