• 9 years ago
Duma anajipatia kipato kidogo sana kwa kazi yake ya DJ kwenye Hoteli ya hali ya chini sana, anagombana na utawala wa Hoteli na kuamua kujiingiza kwenye shughuli ya kutafuta pesa za haraka. Anajingiza kwenye biashara ya madawa ya Kulevya akishirikiana na Golden. Mpaka wa maadili unasogezwa mbali zaidi baada ya Duma kumfanya mdogo wake aige vitendo viovu. Nusura anakimbia unyanyaswaji wa nyumbani kwa Mzee Kizito na kuamua kwenda Nyumbani kwa mama yake Sophia. Huko anapata hamasa ya ajabu toka kwa binti jirani yao mwenye akili na shujaa jinsi alivyo ishi na mwanae. Wakati huo huo Cheche anapata kazi ya nje ya kurekodi video ya siku ya Ngoma zakumtoa mwali yeye na “msaidizi” wake Shoti wanakumbwa na balaa baada ya kumvamia binti mdogo na wapekee wa Big mama.\r
\r
Duma earns peanuts as a deejay in a lousy hotel. He finally has a bust-up with the management and decides to go for quick money/ cash money, by getting involved with Golden in the drug trade. The boundaries of morality blur even further when Duma makes his brother Stephen an accomplice. \r
\r
Nusura escapes from the oppressive atmosphere in Mzee Kizitos household and goes home to her mother, Sophia. There she finds some unexpected inspiration from a brave young neighbour and her young child. \r
\r
Meantime, Cheche gets work outside of the studio filming a traditional coming-of-age ngoma. But between him and his ‘assistant, Dafu, they run into big trouble when Cheche messes with a big mamas precocious daughter.

Category

📺
TV

Recommended