Siri ya Mtungi Sehemu ya 10 (Episode 10 with English Subtitles)

  • 8 years ago
Pamoja na kuwa aliipata pikipiki yake iliyopotea kwa Lulu, bado Cheche ameendelea kukwepa maswali ya kufedhehesha ya mkewe na familia ya jinsi alivyoipoteza pikipiki yake -- na kwa kuzaliwa mtoto Tea, hali ya taharuki inatanda kati ya Cheche na Cheusi, hasa pale mama Cheche anapowasili bila taarifa na kuzuka mikwaruzano midogo midogo kati ya mama hawa wawili. Mwanaidi naye anamtupia jicho Cheche kwenye arobaini. Je ana wasiwasi kuwa kuna jambo mkwewe anataka kufanya?\r
\r
Stephen, mdogo wake Duma, naye pia anajiingiza matatani katika mahusiano na msichana mmoja kwenye maskani. Msichana anagawa zaidi ya machungwa.\r
\r
\r
-------------\r
\r
\r
Even though he got back his missing motorbike from Lulus place, Cheche continues to dodge awkward questions from his wife and family about how he lost his motorbike -- and with the newborn baby Tea, its tense between Cheche and Cheusi, especially when Mama Cheche turns up announced and petty rivalries develop between the two mothers. Mwanaidi also has her eye on Cheche at the arobaini. Does she suspect hes up to something?\r
\r
Dumas teenage brother, Stephen, is also getting into hot soup with one of the girls from the msakani. Shes offering more than oranges\r
\r
-----------------\r
\r
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.\r
\r
Bongo Filamu

Category

đź“ş
TV

Recommended