Siri ya Mtungi Sehemu ya 13 (Episode 13 with English Subtitles)

  • 8 years ago
Katika onyesho la mwisho la msimu wa kwanza, kisasi ni kitamu kwa Farida pale anapotonywa habari nyeti toka kwa fundi cherehani, Furaha.\r
\r
Wakati Mwanaidi anamkabili mkwewe kuhusiana na picha chafu alizompiga Lulu, Cheche anajitetea kwa nguvu kuwa hana kosa.\r
\r
Wakati fulani Duma anakumbana na Nusura mja mzito akielekea kliniki. Hawezi kuvumilia kumwona akiwa na Mzee Kizito.\r
\r
Kipindi hiki, Nusura anapata habari ambazo zitayabadilisha maisha yake milele. Na kule kwenye studio ya picha, umbo kutoka nyakati zilizopita, linaibuka kutokea kusikojulikana na kuutikisa ulimwengu wa Cheche.\r
\r
--------------------\r
\r
In the final episode of the 1st season, revenge is sweet for Farida as she gets a makeover from Furaha the tailor. \r
\r
When Mwanaidi confronts Cheche over inappropriate photographs he took of Lulu, he vehemently pleads his innocence.\r
\r
Duma meantime bumps into pregnant Nusura on her way to the clinic. He cant bear to see her with Mzee Kizito. \r
\r
Meantime, Nusura gets news that will change her life forever. And at photographic studio, a figure from the past arrives out of the blue to shake up Cheches world.\r
\r
-----------------------\r
\r
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.

Category

đź“ş
TV

Recommended