Wahudumu Wa Usafiri Wa Umma Waongeza Ada Ya Nauli Kuregea Mijini

  • 2 years ago
Misongamano Mikubwa Ya Abiria Imeshuhudiwa Katika Steni Mbali Mbali Za Magari Ya Usafiri Wa Umma Kutoka Mashinani Kuelekea Nairobi Huku Wengi Wakijiandaa Kwa Ufunguzi Wa Shule Kuanzia Jumanne.
Wengi Ya Wasafiri Wamelalamikia Kuongezwa Kwa Nauli Hali Ambayo Imewalazimu Kugharimika Zaidi. Katika Kituo Cha Usafiri Cha Northrift Mjini Eldoret, Wasafiri Wengi Wamelalamikia Muda Mwingi Wanaopoteza Wakisubiri Kupata Usafiri.

Recommended