Maafisa Wa Upepelezi Wachukua Video Za CCTV Kutoka Nyumbani Kwa Agnes Tirop

  • 3 years ago
Maafisa Wa Upepelezi Wamechukua Video Za Cctv Za Nyumbani Kwa Mwenzake Mwanariadha Agnes Tirop.Maafisa Hao Wanasema Kuwa Video Hizi Zitawasaidia Kubaini Chanzo Haswa Cha Mauaji Ya Agnes Tirop Ambaye Alipatikana Amefariki Nyumani Kwake Eneo La Iten Kaunti Ya Elgeyo Marakwet.

Recommended