Wakazi Wa Garissa Waomba Msaada Kutoka Kwa Serikali

  • 3 years ago
Wakazi Katika Kaunti Ya Garissa Wanaomba Serikali Iongeze Juhudi Zake Za Kuwapelekea Msaada Wa Chakula, Malisho Ya Mifugo Na Maji Kutokana Na Athari Kali Za Ukame Ili Wapate Afueni. Wakulima Wa Mifugo Wanahesabu Hasara Kila Uchao Kutokana Na Idadi Kubwa Ya Vifo Vya Mifugo. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Hali Inazidi Kuwa Mbaya Zaidi Huku Wakulima Wakilia Gharama Ya Maji Imeongezeka Maradufu.