Serikali Yaonya Walimu Wakuu Dhidi Ya Karo Ya Ziada Kwa Wazazi

  • last year
Waziri Wa Elimu Ezekiel Amekagua Usajili Wa Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Katika Shule Ya Sekondari Ya Wasichana St Georges Jijini Nairobi. Machogu Amewaonya Walimu Wakuu Kutowashurutisha Wazazi Kununua Sare Shuleni Huku Akiwaagiza Walimu Wakuu Wa Shule Kukubaliana Na Wazazi Muda Wa Kununua Sare Hizo Badala Ya Kuwafukuza Wanafunzi. Kama Anavyoelezea Odee Francis, Hadi Sasa Shule Za Sekondari Za Umma Zimepokea Bilioni 16 Kama Mgao Wa Elimu Kwa Wanafunzi

Recommended