Vikao Vya Bunga Vyarejelewa West Pokot

  • 4 years ago
Bunge la kaunti ya West Pokot limerejelea vikao vyake licha ya mtafaruku wa uongozi kati ya kanu na jubilee katika bunge hilo. Spika wa bunge hilo Catherine Mukenyang, amesema kurejelewa kwa bunge hiyo kutafanikishwa na kuzingatia mapendekezo ya wizara ya afya ili kuzuia maambukizi ya corona.