Utapenda vimbwanga vya Haji Manara kwenye sherehe ya Diamond

  • 6 yıl önce
Haji Manara annafahamika zaidi kwa vimbwanga vyake ambavyo amekuwa akivitoka kila kukicha kwa watani wao Yanga, Ijumaa hii msemaji huyo wa Simba alifanya tukio kubwa ambalo limeacha gumzo kubwa katika uwanja wa Magunia, Tandale kwenye sherehe ya Diamond Platnumz wakati alipokuwa akitoa misaada mbali mbali kwa wakazi wa eneo hilo.

Category

İnsanlar

Önerilen