• 6 years ago
One of the Best Music Producer na Msanii wa Bongo Fleva Bob Junior Amesema Kuwa Sharobaro ni Moja Kati ya Vitu Vilivyofanya Wasafi Ikazaliwa na Pengine Asingefanya Kazi na Msanii Diamond Platnumz Labda Kusingekuwa na Bob Junior Tunayemjua au Mafanikio Ambayo Wameyapata.

Bob Ameongeza Pia wakati anakutana na Msanii Diamond ilikuwa ni mitaa ya Magomeni na alimkuta akiwa anauza Duka la Nguo na Wakati huo alikuwa anafanya Muziki wa Rap na yeye ndie alimbadilisha akaanza kufanya muziki wa Kuimba.

Category

😹
Fun

Recommended