Kutekwa kwa bilionea Mohammed Dewji, MO,kumelitikisa taifa la Tanzania na kwa kiasi dunia, Taarifa za kutekwa, kushikiliwa na kuachiliwa huru siku tisa baadae hazikuishia tu Tanzania lakini karibu mashirika yote makubwa ya habari ulimwenguni.
Category
✨
People