• 8 years ago
Usiku wa December 26 2016 Mchekeshaji Mc Pilipili alimtambulisha Dodoma mbele ya familia yake mpenzi wake wa sasa ambaye ni mwigizaji wa bongo .
Ni bonge la show hii sio ya kukusa maana kutakua na wasanii wengi sanaa.
MC Pilipili alikuwa ni mmoja kati ya washereheshaji katika show ya 333Experience iliyoandaliwa na mastaa wa bongo fleva Ben Pol, Jux na Barakah Da Prince .
MC PILI PILI ALIVYOWACHEKESHA WATU KWENYE SHOW YA FUNGA MWAKA ESCAPE ONE.
Harusi ilikuwa kubwa sana MC pilipili aifanya harusi kuwa kubwa zaidi.

Category

📺
TV

Recommended