• 8 years ago
Mrembo aliyejirusha kwenye Maji kisa Mapenzi Huyu Hapa. Ni Binti wa kidato cha tatu, alienda kwa mpenzi wake Dar na kisha akafuatwa na mjomba wake .
Taarifa zilizo tufikia hivi punde kuwa Kuna mwanamke moja ambaye alikuwa ndani ya Boti ya Azam Marine Kilimanjaro 5 ikitokea Zanzibar kuja Dar ilipofika .
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijapatikana aliyekuwa kwenye boti ya Azam Kilimanjaro 5 ikitokea Zanzibar kuelekea Dar es Salaam, alijitupa baharini .
Mwanamke ameokelowa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye Boat ya Kilimanjaro 5 inayomilikiwa na Azam Marine & Kilimanjaro Fast Ferries leo .

Category

📺
TV

Recommended