thechurchofalmightygodsw

thechurchofalmightygodsw

@thechurchofalmightygodsw
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu Kristo wa siku za mwisho. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na ni dhahiri kuwa halikuanzishwa na mtu yeyote. Siku hizi, maneno ya Mwenyezi Mungu, sinema za injili, nyimbo za sifa, na kadhalika zimeenea duniani kote kupitia kwa mtandao. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana!