Usambazaji Dawa Nchini

  • last year
Naibu Rais Rigathi Gachagua Amesema Ni Sharti Huduma Zinazotolewa Na Mamlaka Ya Kusambaza Dawa Nchini Ziimarishwe Huku Akiwataka Wahudumu Wa Afya Walioajiriwa Na Wale Wakujitolea Wapate Mazingira Bora Ya Kufanya Kazi Na Kutoa Huduma. Gachagua Ameyasema Haya Alipokutana Na Maafisa Wa Kemsa Afisina Kwake Jijini Nairobi.

Recommended