Serikali Imeanzisha Miradi Ya Kuimarisha Uchumi Samawati Katika Kaunti Tano Za Pwani Ya Kenya. Waziri Wa Madini Na Uchumi Samawati Salim Mvurya Amesema Miradi Hiyo Itawanufaisha Wavuvi Na Vikundi Ambavyo Vinatarajiwa Kunufaika Na Fedha Za Kustawisha Juhudi Zao.
Category
🗞
News