Maandamano Ya Azimio Yasutwa

  • last year
Mbunge Wa Eneo Bunge La Mavoko Kaunti Ya Machakos Bwana Patrick Mukau Amepinga Vikali Maandamano Yanayopangwa Na Mrengo Pinzani Wa Azimio La Umoja Na Kuutaka Mrengo Huo Kuipa Serikali Nafasi Ya Kumfanyia Mwananchi Kazi Bila Hujumaya Aina Yeyote.

Recommended