Wafanyibiashara Wadogo Kupewa Kipao Mbele Kwenye Ufadhili Wa Hustler

  • 2 years ago
Viongozi Wa Embu Wamewaomba Wakaazi Kujisajili Na Kusajili Hata Biashara Zao Ili Wanufaike Na Ufadhili Wa Hustler Unaotolewa Na Serikali. Akizungumza Katika Soko La Ishiara, Kaunti Ya Embu, Mbunge Wa Mbeere Kaskazini Geofferey Ishiara Amesema Ni Usajaili Tu Utakaowapa Wakaazi Nafasi Ya Kufaidika Na Ufadhili Huo.

Recommended