Serikali Yadai Hali Ya Utulivu Inarejea Laikipia

EbruTVKENYA
EbruTVKENYA
109 followers
3 years ago
Mshirikishi Wa Eneo La Bonde La Ufa George Natembeya Anasema Kuwa Hali Ya Utulivu Inaregea Eneo La Laikipia Licha Ya Shambulizi La Jana Lililopelekea Kifo Cha Maafisa Wawili Wa Polisi. Natembeya Amezidi Kunyoshea Maafisa Wa Usalama Kidole Cha Lawama Kwa Machafuko Hayo.

Recommended