Wazazi Na Watetezi Wa Haki Za Kibinadamu Waandamana Wakitaka Majibu

  • 3 years ago
Makundi Ya Kutetea Haki Za Kibinadam Pamoja Na Mawakili Nchini Yamefanya Maandamano Ya Amani Dhidi Ya Visa Vya Mauaji Ya Kiholela Ambavyo Vimekithiri Nchini. Wakiongozwa Na Chama Cha Mawakili Nchini Wamewasilisha Ombi Mahakamani Na Pia Katika Idara Ya Polisi, Wakitaka Uchunguzi Wa Kina Kufanyika Na Haki Kwa Familia Husika Kutendwa