Gavana Kananu Atia Sheria Kukabiliana Na Wahuni Wanaowadhulumu Wanawake Kimapenzi

  • 3 years ago
Kaimu Gavana Wa Kaunti Ya Nairobi Anne Kananu Ametia Saini Mswada Wa Dhuluma Za Kimapenzi Na Kuwa Sheria,Hatua Anayosema Itawezesha Waathiriwa Kupata Nafasi Bora Ya Kutoa Malalamishi Na Vilevile Kuongeza Adhabu Kali Kwa Wahuni.Kananu Akiwa Ameandamana Na Viongozi Mbalimbali Kwenye Hafla Hiyo Ametilia Shaka Ongezeko La Visa Vya Dhuluma Dhidi Ya Wanawake Huku Akiwa Na Imani Kwamba Sheria Mpya Itakabiliana Na Wale Wanaohatarisha Maisha Ya Mtoto Wa Kike

Recommended