Onyiego: Huenda Idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wakakosa Kuripoti Shuleni

  • 3 years ago
Maafisa Wa Elimu, Vitengo Vya Usalama Pamoja Na Wazazi Wameibua Hofu Ya Kuwa Huenda Idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Wakakosa Kuripoti Shuleni Mkoa Wa Nyanza. Maafisa Wa Elimu Sasa Eneo Hilo Wanahadi Ijumaa Kuhakikisha Wanafunzi Waliosalia Kadhaa Wamejiunga Na Kidato Cha Kwanza. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…………