Watu 4 Wahukumiwa Kifo Kwa Wizi Wa Mabavu Kirinyaga

  • 3 years ago
Mahakama Moja Kaunti Ya Kirinyaga Imewahukumu Kifo Watu Wanne Walioshtakiwa Kwa Tukio La Wizi Wa Mabavu Uliopelekwa Vifo Vya Watu 2. Wanne Hao Isaak Kariuki, Ndambiri, Kennedy Gachoki Kanguru, James Gitonga Wawira, Na Christopher Bundi Mbogo Wanasemekaka Kutekeleza Unyama Huo Julai Mosi 2018 Katika Kijiji Cha Ndindiruku Kata Ndogo Ya Mwea Mashariki Baada Ya Kumuibia Margaret Wanjiku Mwangi Shilingi Laki 2.