Kimunya Ajipata Matatani Kwa Kuwa Katika Kituo Cha Kupiga Kura

  • 3 years ago
Na Baada Ya Madai Hayo Kuchacha, Mwenyekiti Wa Iebc Wafula Chebukati Amekariri Kuwa Machifu Ama Yeyote Yule Ambaye Sio Wakala Wa Wagombea Hawafai Kusalia Katika Kituo Cha Kupiga Kura. Kauli Ya Chebukati Yajiri Baada Ya Kizaazaa Kuzuka Katika Kituo Kimoja Cha Kupigia Kura Baada Ya Wapiga Kura Kuzua Rabsha Wakimtaka Kiongozi Wa Wengi Katika Bunge Lka Kitaifa Amos Kimunya Kuondoka.

Recommended