UDA Wakataa Maridhiano Kati Ya Ruto Na Raila

  • 3 years ago
Wandani Wa Naibu Wa Rais William Ruto Wamepinga Madai Ya Kuwepo Na Njama Ya Kufanya Muungano Na Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga.Viongozi Hao Wakiongozwa Na Mbunge Wa Bahati Kimani Ngunjiri Wamesema Ndoa Ya Ruto Na Raila Haitafanyika Hata Kamwe Huku Wakijigamba Kuwa Hatua Hiyo Huenda Ikamnyima Ruto Uungwaji Mkono Katika Eneo La Mlima Kenya.

Recommended