KMPDU: Hakuna Nafasi Za Kutosha Za Wagonjwa Mahututi

  • 3 years ago
Muungano Wa Madaktari Nchini Umeonya Kuwa Taifa Huenda Likalemewa Na Mkurupuko Wa Tatu Wa Janga La Virusi Vya Corona Kufuatia Idadi Kubwa Ya Wagonjwa Wa Corona Inayorekodiwa. Ongezeko Hilo Likiathiri Pia Utendakazi Wa Wafanyikazi Wa Afya Huku Madaktrai 10 Wakilazwa Katika Hospitali Tofauti Nchini. Na Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya Ni Wakati Wa Serikali Kuongeza Idadi Ya Wafanyikazi Wa Afya Kukabiliana Na Janga Hili Tata La Corona.

Recommended